Jannah Theme License is not validated, Go to the theme options page to validate the license, You need a single license for each domain name.
منوعات

Kutana na wanandoa Bibi na Bwana Elia Msoke ambao wapo kwenye ndoa kwa zaidi…

Kutana na wanandoa Bibi na Bwana Elia Msoke ambao wapo kwenye ndoa kwa zaidi…

Kutana na wanandoa Bibi na Bwana Elia Msoke ambao wapo kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 15 mpaka sasa, licha ya mume (Bw. Elia Msoke) kuwa na ulemavu wa macho, kwake aliweka vigezo vipatavyo 21 kwa mkewe ili aweze kuwa nae.

Usikose kutazama interview nzima ifikapo Jumatano kupitia YouTube channel ya maroon entertainment @maroonent subscribe ili uwe wa kwanza kuitazama. Hii ni anniversary show bado tunatabasamu.

#mapeenziyakweli #mapenziyadhati #15years #miaka15yandoa #Eliamsoke #familiayaEliaMsoke #anniversarytz #love #journey #tvshow #couples #weddings #family #ferrytells #relationshipgoals #anniversaryshow #patients #ambition #love #art #music #mariage #wife #husband #ugomvi #uswazi #baba #mama #ANNIVERSARYSHOW #badotunatabasamu

مقالات ذات صلة

زر الذهاب إلى الأعلى